Zab. 19:10 SUV

10 Ni za kutamanika kuliko dhahabu,Kuliko wingi wa dhahabu safi.Nazo ni tamu kuliko asali,Kuliko sega la asali.

Kusoma sura kamili Zab. 19

Mtazamo Zab. 19:10 katika mazingira