Zab. 22:24 SUV

24 Maana hakulidharau teso la mteswa,Wala hakuchukizwa nalo;Wala hakumficha uso wake,Bali alipomlilia akamsikia.

Kusoma sura kamili Zab. 22

Mtazamo Zab. 22:24 katika mazingira