Zab. 22:23 SUV

23 Ninyi mnaomcha BWANA, msifuni,Enyi nyote mlio wazao wa Yakobo, mtukuzeni,Mcheni, enyi nyote mlio wazao wa Israeli.

Kusoma sura kamili Zab. 22

Mtazamo Zab. 22:23 katika mazingira