4 Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANASiku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake.
Kusoma sura kamili Zab. 27
Mtazamo Zab. 27:4 katika mazingira