Zab. 27:9 SUV

9 Usinifiche uso wako,Usijiepushe na mtumishi wako kwa hasira.Umekuwa msaada wangu, usinitupe,Wala usiniache, Ee Mungu wa wokovu wangu.

Kusoma sura kamili Zab. 27

Mtazamo Zab. 27:9 katika mazingira