Zab. 28:1 SUV

1 Ee BWANA, nitakuita Wewe, mwamba wangu,Usiwe kwangu kama kiziwi.Nisije nikafanana nao washukao shimoni,Ikiwa umeninyamalia.

Kusoma sura kamili Zab. 28

Mtazamo Zab. 28:1 katika mazingira