1 Nalisema, Nitazitunza njia zanguNisije nikakosa kwa ulimi wangu;Nitajitia lijamu kinywani,Maadamu mtu mbaya yupo mbele yangu.
Kusoma sura kamili Zab. 39
Mtazamo Zab. 39:1 katika mazingira