12 Ee BWANA, usikie maombi yangu,Utege sikio lako niliapo,Usiyanyamalie machozi yangu.Kwa maana mimi ni mgeni wako,Msafiri kama baba zangu wote.
Kusoma sura kamili Zab. 39
Mtazamo Zab. 39:12 katika mazingira