Zab. 40:14 SUV

14 Waaibike, wafedheheke pamoja,Wanaoitafuta nafsi yangu waiangamize.Warudishwe nyuma, watahayarishwe,Wapendezwao na shari yangu.

Kusoma sura kamili Zab. 40

Mtazamo Zab. 40:14 katika mazingira