Zab. 53:1 SUV

1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza,Hakuna atendaye mema.

Kusoma sura kamili Zab. 53

Mtazamo Zab. 53:1 katika mazingira