Zab. 57:1 SUV

1 Unirehemu, Ee Mungu, unirehemu mimi,Maana nafsi yangu imekukimbilia Wewe.Nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako,Hata misiba hii itakapopita.

Kusoma sura kamili Zab. 57

Mtazamo Zab. 57:1 katika mazingira