16 Nami nitaziimba nguvu zako asubuhi,Nitaziimba fadhili zako kwa furaha.Kwa kuwa ndiwe uliyekuwa ngome yangu,Na makimbilio siku ya shida yangu.
Kusoma sura kamili Zab. 59
Mtazamo Zab. 59:16 katika mazingira