1 Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema,Nafsi yangu inakuonea kiu,Mwili wangu wakuonea shauku,Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.
Kusoma sura kamili Zab. 63
Mtazamo Zab. 63:1 katika mazingira