Zab. 78:4 SUV

4 Hayo hatutawaficha wana wao,Huku tukiwaambia kizazi kingine,Sifa za BWANA, na nguvu zake,Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya.

Kusoma sura kamili Zab. 78

Mtazamo Zab. 78:4 katika mazingira