Zab. 90:10 SUV

10 Siku za miaka yetu ni miaka sabini,Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;Na kiburi chake ni taabu na ubatili,Maana chapita upesi tukatokomea mara.

Kusoma sura kamili Zab. 90

Mtazamo Zab. 90:10 katika mazingira